Wenger kakubali ubahili sio ishu kamsajilii staa wa Ujerumani
Ni good news nyingine kwa mashabiki wa soka la England hususani mashabiki wa klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha mfaransa Arsene Wenger, saa chache baada ya Arsenal kukamilisha usajili wa Lucas...
View ArticleVIDEOS: Urban hit 10 ya TRACE TV, watanzania wawili tu.
August 30 2016 nakusogezea hit zote ambazo zinafanya vizuri kwenye vituo vikubwa vya TV Africa, Trace TV wamezitaja video mbili kutoka Tanzania ambazo zimeingia kwenye Urban Hit 10. Nakusogezea list...
View Article'White Lives Matter' to be classified as hate group
The Southern Poverty Law Center has said it will place "White Lives Matter" on its list of monitored hate groups. The group opposes "race mixing" and is reportedly active in several areas throughout...
View ArticleSimba kumburuza Kessy kortini
UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema utamburuza mahakamani beki wa Yanga Hassan Kessy kwa madai ya kuwatuhumu kumpa rushwa.
View ArticleYanga yachekelea ligi kusimama
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuusogeza mbele mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na JKT Ruvu kocha msaidizi wa mabingwa hao watetezi Juma Mwambusi amesema uamuzi huo umekuja wakati muafaka...
View ArticlePolisi yaichapa Rangers ligi ya kikapu Zanzibar
LIGI Kuu ya mpira wa kikapu ya Zanzibar iliendelea tena juzi kwa mchezo kati ya Polisi na Rangers.
View ArticleAlliance yaanza vyema Feassa
TIMU ya soka ya Alliance FC imeanza vyema katika mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari za Afrika Mashariki na Kati (Feassa) kwa kutoa kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya bingwa mtetezi wa...
View ArticleSchool Meal Cuts Likely for 1.3 Million Children in Africa
The U.N. World Food Program warns it may be forced to end school meals for more than 1.3 million children in west and central Africa unless it receives $48 million. School begins in September and...
View ArticleHuman Rights ‘Backsliding’ in Southern Africa, Activists Say
Southern African governments are backsliding on human rights, as nations repeatedly violate basic rights and defy their own constitutions, Human Rights Watch says. The situation is being thrown into...
View ArticleSpaceX gets client for first reusable rocket launch
In April a SpaceX rocket carried a payload into space for NASA, and now that same rocket is set to return to space. The idea of a reusable rocket is the brainchild of SpaceX founder and inventor Elon...
View ArticleNMB yamwaga fedha Rock City Marathon
BENKI ya NMB imetoa Sh milioni 10 kudhamini mashindano ya mbio za marathon za Rock City zinazotarajiwa kufanyika Mwanza, Septemba 25.
View ArticleTamasha la waandishi wa habari Arusha Sept 11
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo na Burudani mkoa wa Arusha (Taswa Arusha) kwa kushirikiana na Taasisi ya Arusha Media wameandaa tamasha la 11 la waandishi wa habari za michezo na burudani...
View ArticleWakesha kusubiri kupatwa kwa jua
Mbarali. Umati wa watu umepiga kambi eneo la Rujewa, wakisubiri tukio la kupatwa kwa jua kipete linalotokea baadaye leo.
View ArticleChadema wakubali yaishe
WAKATI leo wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa wamejipanga kufanya mikutano na maandamano nchi nzima, Kamati Kuu ya chama hicho imetangaza kusitisha kampeni hiyo iliyopewa...
View ArticleMCT yampongeza Rais Magufuli vita ya rushwa
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limeipongeza serikali ya Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kupambana na rushwa pamoja na ubadhirifu na kusema inapaswa kuungwa mkono na kila mmoja na pia vyombo...
View ArticleMaghembe: Marufuku kuuza nje wanyama hai
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema kuwa serikali imepiga marufuku biashara ya kusafirisha wanyama hai nje ya nchi mpaka pale itakapowekwa misingi mizuri kuwezesha nchi...
View Article'Mwenyezi Mungu kamkubali Magufuli'
KATIBU wa Mila wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Mwanasimtwa Mwagongo amesema tukio la kupatwa kwa jua linalotarajiwa kutokea leo katika Kijiji cha Rujewa wilayani hapa ni ishara ya Mwenyezi Mungu...
View ArticleMaghembe:Ongezeko VAT halijaathiri mapato ya utalii
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema wizara yake imejiwekea mkazo mkubwa kuhakikisha mchango wa utalii katika Pato la Taifa unafikia asilimia 20 kutoka asilimia 17.5 ya mwaka...
View ArticleJumbe na Nyerere walivyopigana mwereka-II
“UTASTAAJABU kwamba katika maisha yangu yote sikuwahi kuwa na mpango. Na kama ulikuwapo, basi haukufanikiwa.” Inasemekana kwamba hayo yalitamkwa na Alhaji Aboud Jumbe alipokuwa akihojiwa na Yussuf...
View ArticleACACIA YASITISHA UDHAMINI WA MABILIONI STAND UNITED
Kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA Gold Mine ya Bulyanhulu ya mkoani Shinyanga imevunja rasmi mkataba wa kuifadhili klabu ya Stand United. Ikumbukwekwe klabu ya Stand United ilikuwa ni klabu yenye...
View Article