Kama ni shabiki wa Azam FC na ulisikia stori za Daniel Amoa mchezaji kutoka klabu ya Medeama ya Ghana atasajiliwa na Azam FC, afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi amethibitisha Daniel Amoa tayari amewasili Tanzania baada ya kukamilisha kila kitu kwa ajili ya kujiunga rasmi na Azam FC. “Beki wetu ambaye tumemsajili kutoka klabu […]
The post AUDIO: Azam FC wamethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa appeared first on millardayo.com.
↧