Marcel Lazar, mdukuzi wa watu maarufu adakwa Marekani
Mahakama moja nchini Marekani imemfunga jela raia moja mwenye asili ya nchini Romania kwa kosa la udukuzi mtandaoni kwa watu wenye hadhi za juu nchini humo ikiwemo familia ya Bush.
View ArticleAUDIO: Azam FC wamethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa
Kama ni shabiki wa Azam FC na ulisikia stori za Daniel Amoa mchezaji kutoka klabu ya Medeama ya Ghana atasajiliwa na Azam FC, afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi amethibitisha Daniel Amoa tayari...
View ArticleAUDIO: Mkwasa amesikitishwa na Kelvin Yondani kutojibu meseji zake wala...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars tayari imeondoka Dar es Salaam kuelekea Nigeria kucheza mchezo wake wa mwisho wa kukamilisha ratiba wa michuano ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika 2017 dhidi ya...
View ArticleNGASA ALICHO-POST INSTAGRAM BAADA YA KUVUNJA MKATABA SOUTH AFRICA
Taarifa za Mrisho Ngasa kuvunja mkataba na klabu yake ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini zinazidi kuenea kwa kasi hususan kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa barua ya kuvunjwa mkataba huo...
View ArticleGerman spy agency systematically broke the law: report
German spies systematically and regularly violated basic civil rights by siphoning up people's telecommunication data for years, according to a secret report by the country's ombudswoman for data...
View ArticleMakonda to launch Dar tree planting campaign October 1
Regional Commissioner Paul Makonda on October 1, this year will launch a tree planting campaign branded ‘My Tree’.
View ArticleUzbekistan waomboleza kifo cha rais Islam Karimov
Watangazaji waandamizi wa runinga ya taifa na viongozi wakuu wa serikali nchini Uzbekistan wametuma ujumbe wa tanzia katika mitandao ya kijamii kufuatia kuzagaa kwa uvumi kuwa rais Islam Karimov ameaga...
View ArticleYONDANI AMSIKITISHA MKWASA
Wakati kikosi cha Taifa Stars kikisafiri kuelekea Nigeria, Kelvin Yondani si miongoni mwa wachezaji 18 walioondoka kwenda nchini humo kwa ajili ya mchezo wa mwisho katika hatua ya makundi kuwania...
View ArticleTeak farm generates Sh1.4 billion
The government held a public auction of teak trees at its farm located in Mvomero District, fetching more than Sh1.4billion.
View ArticleTPA, Tazara vow to enhance efficiency
Tanzania Ports Authority and Tanzania Zambia Railway Authority have vowed to work closely in a bid to enhance efficiency and offer cost-effective services.
View ArticleRPC aagiza kusakwa kiwanda cha noti
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhahiri Kidavashari amewaagiza askari kukisaka kiwanda cha kutengeneza fedha bandia na kuwatia mbaroni wahusika.
View ArticleSh225 mil zahudumiwa wanafunzi hewa
Wanafunzi hewa waliobainika wilayani Kahama, wameisababishia hasara Serikali ya Sh225 milioni kwa kipindi cha miezi minane kuanzia Januari hadi Agosti.
View Article330,000 wavuliwa mkono wa sweta
Wanaume 329,000 wenye umri wa kuanzia miaka 10 na kuendelea wametahiriwa mkoani hapa, katika kampeni maalumu ya ‘kuondoa masweta’ tangu mwaka 2012 hadi Juni ikiwa ni mkakati wa kupunguza maambukizi ya...
View ArticleMfanyabiashara atoa madawati 120
Mfanyabiashara wa mafuta Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Hamisi Tabasamu amekabidhi madawati 120 yenye thamani ya Sh8.4 milioni kwa ajili ya shule za msingi za halmashauri za Buchosa na Sengerema.
View ArticleEmergency Cholera Vaccination Campaign Set to Begin in DRC
The World Health Organization says it is alarmed at the quick spread of a cholera epidemic in the Democratic Republic of Congo (DRC) and is taking emergency measures to halt its spread. Highly endemic...
View ArticleSpanish PM Rajoy loses bid to form new gov't
Spanish lawmakers have voted against acting Prime Minister Mariano Rajoy, denying him a mandate to form a new government. After two votes of no-confidence in the assembly, Spain seems to be heading for...
View ArticleMjane ,nzega, akatwa mapanga, waondoka na viungo
Watu wasiofahamika wamemkata mapanga mjane, Veronica Dala (46) kisha kuondoka na baadhi ya viungo vya mwili wake.
View ArticleDas hajaripoti kituoni
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbeya (Das) aliyeteuliwa hivi karibuni, Arnold Mkwawa hajaripoti kwenye kituo chake cha kazi hadi sasa.
View ArticleWavuvi watatu wahofiwa kufa
Wavuvi watatu wakazi wa Kata ya Mugaza wilayani Chato, Mkoa wa Geita wanahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvua samaki Ziwa Victoria kuzama.
View Article