Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema ili Tanzania iwe miongoni mwa nchi zenye ushindani kwenye elimu duniani, juhudi zaidi zinahitajika kukuza na kusimamia kiwango chake.
↧