$ 0 0 TIMU ya soka ya Simba jana iliwapa raha mashabiki wake baada ya kuifunga Polisi Dodoma mabao 2-0.