Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Sitavumilia chokochoko – Magufuli

RAIS John Magufuli amesema hatavumilia aina yoyote ya vitendo vya uvunjifu wa amani kwa sababu amekula kiapo cha kulinda amani na utulivu kwa maslahi ya wananchi wa Tanzania, hivyo katika kipindi cha...

View Article


Wanawake waongoza utoroshaji dhahabu, tanzanite

SERIKALI imebaini kuwa asilimia kubwa ya madini aina ya tanzanite na dhahabu yanatoroshwa nchini na wanawake ambao huyavaa kwenye maeneo tofauti mwilini na kusema ni mapambo hivyo wanapopita kwenye...

View Article


SMZ yaridhishwa utendaji wa Magufuli

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa Rais wa Muungano, John Magufuli katika kuimarisha Muungano kwa maslahi ya wananchi wa pande mbili.

View Article

Mjane auawa, anyofolewa viungo

MJANE mwenye umri wa miaka 46, Veronica Dala ameuawa na watu wasiofahamika kwa kukatwa na mapanga mwilini. Aidha mjane huyo amenyofolewa baadhi ya viungo vya mwili wake.

View Article

BAADA YA NGASA KUTUA BONGO ATARUHUSIWA KUSAJILIWA IKIWA DIRISHA LA USAJILI...

Baada ya Mrisho Ngasa kukanyaga ardhi ya Tanzania maswali kwa wadau wa soka yamekuwa ni kutaka kujua kama mchezaji huyo wa zamani wa Yanga ataruhusiwa kujiunga na klabu yoyote itakayomuhitaji. Sports...

View Article


VOA Somali Town Hall: President Tells US Teen It's Safe to Visit

Answering a U.S. teenager's question about vacationing safely in Somalia, President Hassan Sheikh Mohamoud said, "You can come back to Mogadishu — nothing will happen to you." Mohamoud answered...

View Article

Yanga yaipania Ndanda

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm, amejigamba kuwa kikosi chake kipo vizuri kuikabili Ndanda kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara utakaochezwa Uwanja wa Nang'wanda Sijaona Mtwara.

View Article

Stars yatota Nigeria, Manula ang’ara

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana ilimaliza mechi zake za Kundi G kuwania kufuzu fainali za Afrika zitakazofanyika Gabon mwakani kwa kufungwa bao 1-0 na Nigeria ‘Super Eagles’.

View Article


Mbeya City yaibamiza Mbao

TIMU ya Mbeya City ya Mbeya jana ilitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa Mbao FC iliyopanda daraja baada ya kuichakaza kwa mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba hapa.

View Article


Simba yainyoosha Polisi Dodoma

TIMU ya soka ya Simba jana iliwapa raha mashabiki wake baada ya kuifunga Polisi Dodoma mabao 2-0.

View Article

Biashara yadorora, wakumbuka Bunge la 10

Wafanyabiashara mjini hapa wamelalamikia kudorora kwa biashara ya vyakula tofauti na Bunge lililopita la 10.

View Article

Investing in the youth to curb poverty

IN order to realise the opportunity of a demographic dividend, Tanzania must invest in its young people. Access to family planning for young people is key to enabling the requisite shift in the...

View Article

Precarious balance in family planning and development

WHEN you talk about family planning to most Tanzanian men, a vivid picture of a heavily pregnant, tired looking woman with a toddler strapped on her back comes into mind.

View Article


Msalaba Mwekundu watinga kwa JPM

Wanachama wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) wamepanga kuishtaki bodi ya chama hicho kwa Rais John Magufuli, kwa madai ya kuuza sehemu ya jengo la Viva Tower na fedha za mauzo hayo kutumiwa...

View Article

Makonda: ‘Naoga matusi’ kuhusu Bakwata

Zikiwa zinakaribia wiki tatu tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aahidi kujenga ofisi za kisasa za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), amesema uamuzi wake umezidi kuibua vita...

View Article


Bunge laikaanga TPA, TRA

Kamati ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira, imezishukia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam.

View Article

Merkel defends record on regional election eve

Germany's Mecklenburg-West Pomerania regional election will be a "very tight race," Chancellor Angela Merkel has conceded. Surveys indicate that her local CDU could even be outpaced by the upstart...

View Article


Mimba 51 zabainika madarasani

Wanafunzi 74 wamesimamishwa masomo katika shule mbalimbali za sekondari na msingi Manispaa ya Dodoma, kutokana na kupata mimba, huku Mkuu wa wilaya hiyo, Christina Mndeme akisema wametoa picha mbaya ya...

View Article

VIONGOZI TFF, VILABU, WALIPA KISOGO KONGAMANO LA SOKA DAR

Kongamano kwa ajili ya kujadili matatizo na maendeleo ya soka la Tanzania ambalo linafanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, limeanza leo katika uwanja wa taifa chini ya maandalizi ya Jukwaa la...

View Article

VOA Somali Town Hall Connects Minnesota and Mogadishu

President Hassan Sheikh Mohamoud answered questions about terrorism and the Somali diaspora in a town hall hosted by VOA's Somali service Saturday. The program is the first of its kind to connect...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>