Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani limebaini kuwapo kwa matumizi ya Sh8.1 milioni ya idara ya elimu katika Shule ya Msingi Kiwangwa kwa ajili ya elimu maalumu huku kukiwa hakuna mtoto mwenye ulemavu anayesoma hapo.
↧