Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Official calls for sensitisation on club foot

A senior public health official in Kilimanjaro region has called for increased public sensitisation on a deformity known as club foot.

View Article


Sh32b Mererani road to be ready December

Upgrading of the 22 kilometre road linking Mererani gemstone mines to the rest of the country through Kilimanjaro International Airport (KIA) will be complete by the end of this year, it was revealed...

View Article


Wazanzibari watakiwa kusajili ndoa

Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar, Jaji Mshibe Ali Bakari amewashauri Wazanzibari kusajili ndoa ofisi ya mrajisi ili kupunguza vitendo vya ‘uharamia’ katika ndoa.

View Article

Madiwani wahofia Sh8 mil za wanafunzi

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani  limebaini kuwapo kwa matumizi ya Sh8.1 milioni ya idara ya elimu katika Shule ya Msingi Kiwangwa kwa ajili ya elimu maalumu huku...

View Article

Opinion: A shock we saw coming

Everyone knew in which direction the pendulum was going to swing. The momentum of the right-wing AfD in Mecklenburg-Lower Pomerania was as predictable as the losses of the major parties, says DW's...

View Article


Polisi wabaini ‘kiwanda cha silaha’

Polisi wamedaiwa kukamata silaha nzito za kivita na bunduki moja kati ya mbili zilizoporwa kwenye tukio lililotokea tawi la Benki ya CRDB, Mbande.

View Article

Kenyatta: Hatuna mgogoro na Tanzania

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema taarifa za vyombo vya habari zinazoeleza kuwa kuna mvutano baina ya nchi hiyo na Tanzania, ni uongo kwa sababu jambo hilo halipo.

View Article

Risasi zalia ofisi za CUF

Polisi jana waliwatawanya wafuasi wa Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufyatua risasi hewani ili kuwazuia wasivuruge mkutano wa waandishi wa habari uliotishwa na Mwenyekiti wa...

View Article


Siri ya kupungua mizigo bandarini

Sintofahamu ya kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam imewaibua wadau na kueleza siri za tatizo hilo, huku wakiitaka Serikali kuchukua hatua za haraka.

View Article


BOSSOU APIGA MOJA TOGO IKIUA TANO NA KUFUZU AFCON 2017

Beki kisiki wa Yanga na Timu ya Taifa ya Togo, Vincent Bossou akiwa ameanza kwenye kikosi cha kwanza baada ya muda mrefu ameisaidia timu yake ya taifa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Djibouti...

View Article

Crucial Hong Kong election attracts record number of voters

Votes are being counted in Hong Kong's crucial election, with a record number of people turning out to cast their ballot. The vote has been hailed as the most important poll since the handover from...

View Article

Water utility attains top accreditation

Tanga Water and Sanitation Authority (Tuwasa) has become first Tanzanian organisation to receive the latest international standardisation accreditation status ISO 9001: 2015.

View Article

Mtaka ‘alia’ na kigezo cha elimu

Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT), Anthony Mtaka amesema viongozi wengi wa vyama vya michezo ni wababaishaji ari inayochangia tasnia ya michezo nchini kutofanikiwa.

View Article


‘Kama Manula tungepigwa 10’

Nyota wa zamani wa Yanga na Tanzania, Kitwana Manara amesema kama si umakini wa kipa Aishi Manula, Taifa Stars ingeweza kufungwa hata mabao 10-0 kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Nigeria.

View Article

Kariakoo sasa Mkoa wa Kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imelitangaza eneo la Kariakoo kuwa Mkoa Maalumu wa Kodi, ikiwa ni mkakati mmojawapo wa kuongeza wigo wa vyanzo vya  kukusanya mapato kikamilifu.

View Article


Bayi awapa shavu wanariadha

Taasisi ya Filbert Bayi (FBF) imetoa ofa ya masomo kwa wanariadha 12 nchini,  kuendelezwa vipaji vyao vya riadha na kocha wa mchezo huo kutoka Eldoret nchini Kenya.

View Article

True crime

A web series where justice is determined by the audience and delivered by a vigilante group has become a huge hit in Kenya.

View Article


Three sue EAC over losing jobs

The Secretary General of the East African Community (EAC) will be arraigned in court by former employees of the regional organisation for disbanding a peace and security unit over an alleged cash crunch.

View Article

Orodha mauaji dada’ke Bilionia Msuya yaongezeka

Idadi ya washtakiwa katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya ambaye alikuwa dada wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, Erasto Msuya maarufu bilionea Msuya, imeongezeka na...

View Article

Germany urges Russia to implement peace in Syria, Ukraine

Germany's foreign minister has urged Russia to finalize a ceasefire in Syria with the US. Chancellor Angela Merkel also addressed the situation in Syria with President Vladimir Putin at the sidelines...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live