Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Risasi zalia ofisi za CUF

$
0
0
Polisi jana waliwatawanya wafuasi wa Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufyatua risasi hewani ili kuwazuia wasivuruge mkutano wa waandishi wa habari uliotishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>