Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema taarifa za vyombo vya habari zinazoeleza kuwa kuna mvutano baina ya nchi hiyo na Tanzania, ni uongo kwa sababu jambo hilo halipo.
↧