Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 imejaa vivutio vingi au kuna majina mengi unaweza kusema yamefanya iwe na mvuto wa kipekee, ukiachana na upinzania wa Pep Gurdiola na Jose Mourinho, Zlatan Ibrahimovic wa Man United amekuwa kivutio pia kwa kauli zake anazopenda kuzitoa. Ikiwa siku tatu zimesalia kabla ya ulimwengu wa soka kushuhudia Man City […]
The post VideoFUPI: Kabla ya kukutana Sept 10, Zlatan kamtumia ujumbe na zawadi kipa wa Man City appeared first on millardayo.com.
↧