Magoli 10,876 yafungwa Netiboli
Jumla ya magoli 10,876 yamefungwa na washambuliaji 22 katika michezo 40 ya mashindano ya netiboli ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara 2016 yaliyomalizika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri,...
View ArticleMichuano ya Olimpiki kwa walemavu ni leo Rio de Janeiro
Michuano ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu inatarajiwa kuanza hivi leo mjini Rio de Janeiro nchini Brazil.
View ArticleVideoFUPI: Kabla ya kukutana Sept 10, Zlatan kamtumia ujumbe na zawadi kipa...
Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 imejaa vivutio vingi au kuna majina mengi unaweza kusema yamefanya iwe na mvuto wa kipekee, ukiachana na upinzania wa Pep Gurdiola na Jose Mourinho, Zlatan...
View ArticleYanga yabanwa mbavu Mtwara, Simba, Azam wacheka
Wakati mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakishindwa kuvunja mwiko wa kuifunga Ndanda nyumbani kwao, watani zao Simba na Azam wamesogea kileleni mwa ligi kwa kuzifunga Ruvu Shooting na Prisons.
View ArticleZimbabwe Court Rejects Ban on Protests
Zimbabwe's High Court has struck down the government's two-week ban on demonstrations. The ban was announced last Thursday, a day before opposition parties were to hold an anti-government protest in...
View ArticleZambia's Lungu to Be Inaugurated Next Week
Zambia is preparing for the official installation of President Edgar Lungu next Tuesday, after two separate courts threw out petitions from the main opposition challenging the outcome of the August 11...
View ArticleParalympics kicks off in Rio
The Paralympics, which are starting in Rio with the opening ceremony and go on for 11 days, are a showcase for some of the world's most remarkable athletes. So, let the Games begin!
View ArticleTanzanite: Low production, high operational costs
ENTREPRENEURS whose survival depends on Tanzanite business at Mirerani mining area in Simanjiro District, Manyara Region have a reason to worry due to skyrocketing operational costs, coupled with...
View ArticleHow Dodoma strives to keep municipality clean ahead of official shift
THERE is a huge difference in sanitation between the last time I was in Dodoma and today. There is no garbage pile up that was haphazardly left to rot, particularly in the area opposite the CBE College...
View ArticleTanzania kuwaruzuku wachimbaji wadogo wa madini
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa madini katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi 10.
View ArticleWapinzani wanyimwa chakula Zimbabwe
Tume ya haki za binadamu nchini zimbabwe imesema kuwa watu wanaounga mkono upinzani, walio kwenye maeneo yenye ukame wamenyimwa misaada ya chakula na chama tawala cha ZANU-PF.
View ArticleAir China in-flight magazine sparks outcry over 'racist' guide to London
Air China has come under fire for an article in its in-flight magazine. The feature tells visitors to take "precautions" when visiting areas of London with large populations of "Indians, Pakistanis and...
View ArticleUS swimmer Lochte faces 10-month suspension
US swimmer Ryan Lochte reportedly faces a 10-month suspension. This after his night of embarrassing mischief at the Rio Olympics in August, which has also seen the Olympian lose lucrative sponsorship...
View ArticleWorld Bank grants Sh576m to schools
The World Bank has issued a grant of Sh576 million to three public primary schools in the district for the construction of classrooms and toilets.
View ArticleMwalimu Julius Nyerere in the eyes of Mustafa Sabodo
“DURING my first encounter with the late Mwalimu Julius Nyerere I was brave enough to tell him that he was not a King but rather a servant of the people; even with the seemingly unpleasant statement to...
View ArticleSomalia yatoa sababu ya marufuku ya ndege za miraa kutoka Kenya.
Balozi wa Somalia Kenya asema ziara ya Gavana Munya huko Somaliland imezusha shinikizo la kisiasa lisilohitajika.
View ArticleKusaini mikataba ya EPA ni kichekesho
MIEZI michache iliyopita, viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walitangaza kukubaliana kutosaini Mikataba ya Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) na nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU)....
View ArticleMbunge hatarini kufungwa miaka saba
BRADFORD, UINGEREZA MBUNGE wa Bradford Magharibi, Naz Shah (42), anachunguzwa na askari wa polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya chuki dhidi ya Wayahudi na akibainika anaweza kushtakiwa na kufungwa...
View ArticleWafanyabiashara: Mkurugenzi wa Ilemela ni jipu
WAFANYABIASHARA wenye maduka katika soko la Kitangiri, Ilemele mkoani Mwanza wamekerwa na ongezeko la kodi ya pango linaloshinikizwa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, John Wanga, wakidai limegubikwa na...
View ArticleNgono yamtesa kigogo wa Bunge Uingereza
LEICESTER, UINGEREZA MBUNGE wa Leicester Mashariki nchini Uingereza, Keith Vaz, amekumbwa na kashfa ya ngono kiasi cha kushinikizwa kujiuzulu wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya...
View Article