$ 0 0 Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari amemlaumu mmoja wa wahudumu wake kwa kuiba sehemu za hotuba ya Rais wa Marekani Barack Obama.