Wakati madereva 10 waliotekwa na wanajeshi waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakipelekwa katika mji wa Kindu kukabidhiwa kwa Serikali za Tanzania na Kenya, wenzao wameeleza mateso ambayo huwapata mara kwa mara katika nchi hiyo.
↧