MABOSI Azam wamekubaliana na ripoti ya kocha aliyeondoka, Stewart Hall aliyetaka timu hiyo isajili nyota sita wa maana wakiwemo mastraika wawili na sasa imetua kwa straika wa zamani wa Simba, Elias Maguli ambaye pia anawaniwa na Yanga.
↧