Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Wanataaluma Udom wataja kiini cha mgogoro

Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udomasa) imetaja mambo sita yanayohusu ukweli wa sakata la wanafunzi walioamriwa kuondoka chuoni hapo.

View Article


Maalim Seif asimamisha shughuli Zanzibar

Shughuli nyingi mjini Unguja jana zilisimama wakati Jeshi la Polisi Zanzibar lilipomhoji Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kwa takribani saa tatu.

View Article


Mbowe: Tupo tayari kutimuliwa wote bungeni

Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson sasa amesababisha makubwa zaidi; wabunge kutoka vyama vya upinzani wako radhi kutimuliwa wote iwapo kiongozi huyo ataongoza vikao vyote vilivyosalia na wao...

View Article

MAGULI NJIANI KUIKACHA STAND, KUJIUNGA NA WAKALI WENGINE VPL

Elius Maguli, mshambuliaji wa timu ya taifa ya ‘Tanzania ‘Taifa Stars’ na klabu ya Stand United Mshambuliaji wa Stand United Elias Maguli ambaye amekuwa hana mwendelezo mzuri kwenye klabu yake tangu...

View Article

Liberia’s Main Opposition Calls for Expansion of Corruption Probe

Liberia’s main opposition party, Congress for Democratic Change (CDC), is calling on all officials implicated in the ongoing alleged corruption scandal to recuse themselves from their current positions...

View Article


Kesi ya Kizza Besigye yaahirishwa tena

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dk.Kizza Besigye aliyekuwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kujibu shtaka la uhaini hajafikishwa mahakamani.

View Article

French trains halted as unions resist reform

About half of French rail services have been halted as workers resist President Francois Hollande's controversial labor reforms. His government accuses unions of upsetting next week's Euro 2016...

View Article

Familia ya Msuya yasema haina hofu

Wakati dada wa Bilionea Erasto Msuya, Anetha akizikwa jana, dada yao mkubwa, Ester amesema familia inamwachia Mungu kuhusiana na mauaji hayo na hawana hofu yeyote.

View Article


Rais Magufuli aishangaa Tanzania kwa hili

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote...

View Article


Kumbukumbu ya Mangwea: TID asema muziki ndio kitu ambacho kilimuonganisha na...

View Article

Maguli apewa jezi ya Kipre Azam

MABOSI Azam wamekubaliana na ripoti ya kocha aliyeondoka, Stewart Hall aliyetaka timu hiyo isajili nyota sita wa maana wakiwemo mastraika wawili na sasa imetua kwa straika wa zamani wa Simba, Elias...

View Article

Mzungu: Maguli, Chanongo nisiwakute

 KOCHA mwenye misimamo mikali wa Stand United, Patrick Liewig amewapa mapumziko wachezaji wake hadi Julai 17 huku akipanga kutumia Sh 80 milioni kuboresha kikosi cha msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.

View Article

Wahamiaji haramu 71 wanaswa Temeke

Idara ya Uhamiaji wilayani Temeke mkoani hapa, inawashikilia wahamiaji haramu 71 kutoka Ethiopia  kwa tuhuma za kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria.

View Article


Uuzaji wa viwanja kwa watokea puani watumishi ardhi

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora imewasimamisha kazi watumishi wanne wa Idara ya Ardhi kwa tuhuma za kusababisha migogoro ya viwanja.

View Article

Uko wapi umakini wa bajeti katika sekta ya elimu?

Wakati Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ikiomba Sh1.4 trilioni ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi katika mwaka 2016/17, huenda malengo yake yasifanikiwe kutokana na kiasi hicho kuwa...

View Article


Uchaguzi Yanga ubabe ubabe

UKISIKIA ubabe ubabe ndio huu. Uongozi wa Yanga umeupotezea uchaguzi mkuu wao ulioitishwa na kusimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na badala yake imeutangaza wao utakaofanyika Juni 11.

View Article

UCHAMBUZI WA KUNDI LA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Na Athumani Adam Baada ya kuiondoa Sagrada Esperanca ya Dundo nchini Angola kwenye hatua ya kumi na sita bora, mashindano ya shirikisho barani Afrika wapenzi wa soka nchini Tanzania shauku yao kubwa...

View Article


Utata uchaguzi Yanga bora umalizwe haraka

KWA kipindi kirefu gumzo kubwa katika klabu ya Yanga ni kuhusu uchaguzi mkuu wa klabu hiyo baada ya kutofanyika katika muda wa kawaida kwa mujibu wa katiba yao.

View Article

CUF – aliyewatosa wakati muhimu hafai kurejeshwa uongozini

NA HILAL K SUED, PROFESA Ibrahim Lipumba, mwanasiasa maarufu nchini na msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi amekiongoza Chama cha Wananchi (CUF) kwa takriban miaka 20 – tangu 1995. Aidha,...

View Article

Watendaji, mawaziri jifunzeni kwa CAG

PAMOJA na ukweli kwamba Rais John Magufuli, anajitengenezea taswira ya kuogopwa na watendaji, mawaziri wake lakini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>