TAASISI ya Saratani ya Ocean Road kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imeandaa matembezi ya hisani yenye lengo la kuhamasisha uchangiaji wa matibabu ya saratani ya matiti, anaandika Aisha Amran. Julius Mwaiselage, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Ocean Road, amesema wamejitokeza ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kutokomeza saratani ya matiti na kuongeza uelewa kwa jamii ...
↧