Philippines says it wants to 'break away' from dependency on US
The Philippines has said it wants to end the country's dependency on the United States. The country is moving to balance its interests.
View ArticleOcean Road yaandaa matembezi kuikabili saratani ya matiti
TAASISI ya Saratani ya Ocean Road kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imeandaa matembezi ya hisani yenye lengo la kuhamasisha uchangiaji wa matibabu ya saratani ya matiti, anaandika Aisha Amran....
View ArticleWasichana wa Tanzania kujadiliana na Michelle Obama
Wasichana 25 wa Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo.
View ArticleAudio: Simba imemuangukia Rais Magufuli
Klabu ya Simba imemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli kutokana na uharibifu wa uwanja wa taifa uliofanywa na mashabiki wa Simba wakati wa mchezo wa ligi kuu...
View ArticleTaarifa Kutoka Cchuo cha Takimwi Mashariki Mwa Afrika.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Simu: 255- (022) 2122722/3/4 18 Barabara ya Kivukoni, Nukushi: +225 (022)2130852 S. L. P 796, Barua pepe: dg@nbs.go.tz 11992 Dar es Salaam, Tovuti:...
View ArticleTaasisi za Mikopo Ziwatazame na Wajasiriamali Wadogowadogo
Na Salmin Juma PembaTAASISI zinazotoa huduma ya mikopo zimetakiwa kuelekeza nguvu zake kwa kuwasaidia wajasiriamali wadogo wadogo hasa wa maeneo ya vijijini kwa kuwapa mikopo yenye masharti nafuu na...
View ArticleWananchi Kisiiwani Pemba Watakiwa Kutembelea Maeneo ya Utalii Kuimarisha...
Na Salmin .J. Salmin Pemba.Jamii imeshauriwa kuuthamini utalii wa ndani ikiwa ni njia moja wapo ya kuwasaidia kujikwamua kiuchumi na kuitambua historia ya nchi yaoMdahamini wa kamisheni ya Utalii...
View ArticleMUWSA Yaunga Mkono Jitihada za Rais Magufuli za Kutoa Elimu Bure,Yachangia...
Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai....
View ArticleRais Dkt. Magufuli Afungua Rasmin Kiwanda cha Kusindika Matunda cha Bakhressa...
Waziri wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati...
View ArticleAmerica's longest war - Lost opportunities in Afghanistan?
15 years ago, the US launched what would turn out to be its longest war. DW talks to former CIA station chief in Islamabad, who was deeply involved in the campaign that ousted the Taliban regime in...
View ArticleBY THE WAY: This goes to all you timid sisters
I don’t know how you did it; whether you got pregnant to make him marry you, if you were the perfect woman or if you used threats to ensnare him.
View ArticleClyne: Dah! Milner ananifanya nionekane mzigo
MERSEYSIDE, England BEKI wa Liverpool, Nathaniel Clyne, amedai kuwa kiwango kinachooneshwa na staa mwenzake, James Milner, kimemfanya aonekane ni mchezaji wa kawaida. Clyne amekuwa akifanya vizuri...
View ArticleVijue vigezo sita vya kukupa ajira
Katika makala yaliyopita, tuliona takwimu zinazothibitisha kuwa tatizo la ajira ni zaidi ya kukosekana kwa nafasi za kazi.
View ArticleJali afya yako, matibabu ya figo gharama kubwa, hayana uhakika
Kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa mwaka 2011, asilimia 70 ya watu wanaoishi kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwamo Tanzania, idadi kubwa watakuwa wameathirika na maambukizo ya...
View ArticleMatumizi yaliyopitiliza ya intaneti ni chanzo cha magonjwa ya akili
Uraibu wa mitandao ya intaneti unaweza kuwa chanzo cha magonjwa mengine ya akili, ripoti inasema.
View ArticleTecno Phantom 6 kuanza kuuzwa, haya ni mambo ya kuyafahamu
Baada ya simu ya Tecno Phantom 6 na Phantom 6 plus kuzinduliwa usiku wa September 26 2016 huko Dubai kwenye jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa, October 8 2016 ndio siku pekee ya wewe mtu wangu...
View ArticleBurundi yachukua uamuzi wa kujiondoa kuwa mwanachama wa ICC
Serikali ya Burundi imechukua uamuzi wa kujiondoa kuwa mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ya (ICC). Uamuzi huu unakuja baada ya wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa kutoa orodha ya...
View ArticleCan Stand United topple Simba?
Rampaging Stand United may climb to the summit of the Vodacom Premier League table this evening if they beat Mbeya City.
View ArticleNini kilichowapunguza kasi Leicester?
LONDON, England Nini kilichowamaliza mabingwa wa Ligi Kuu England wa msimu uliopita wa 2015–16? Kasi yao ya msimu uliopita ilikuwa ni moto wa kifuu? Bila shaka hayo ndiyo maswali yaliyobaki vichwani...
View ArticleRayvanny amejitofautisha na Diamond
NA HAPPYGLORY URASSA, JINA la Msanii Raymond, maarufu kama Rayvanny, limechomoza kwa kasi katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini. Ni msanii aliyeibuka kwa kasi kubwa na kuteka hisia za wapenzi wengi...
View Article