Kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa mwaka 2011, asilimia 70 ya watu wanaoishi kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwamo Tanzania, idadi kubwa watakuwa wameathirika na maambukizo ya figo ifikapo mwaka 2023.
↧