$ 0 0 Kilimo kwa ujumla kinakabiliwa na changamoto lukuki, lakini kubwa ni ukosefu wa utaalamu na masoko ya uhakika kwa ajili ya mazao ya biashara.