VIDEO: Mwenyekiti wa chama cha upinzani Kenya aeleza wakenya wanavyoona...
Ikiwa Rais Magufuli ametimiza mwaka tangu achukue madaraka ya kuongoza nchi huku sifa za utendaji wake zikienea Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. leo October 8 2016 chama cha ACT Wazalendo...
View ArticleViongozi na wanachama CCM waagizwa kuchagua wenye sifa
Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif akizungumza na wana CCM na Wananchi wa Matawi ya Mangapwani na Mangapwani Bondeni katika Mkutano wa kutoa shukrani baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu....
View ArticleBMT yaivuruga ‘Yanga mpya’
Siku chache baada ya Bodi ya Wadhamini ya Yanga kusaini mkataba wa kuikodisha klabu hiyo kwa kampuni ya Yanga Yetu Limited, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) limedai kuwa mkataba huo ni batili na...
View ArticleWakulima wachangamkie fursa ya kiwanda hiki
Kilimo kwa ujumla kinakabiliwa na changamoto lukuki, lakini kubwa ni ukosefu wa utaalamu na masoko ya uhakika kwa ajili ya mazao ya biashara.
View ArticleJean Ping: Bongo asitambuliwe kama rais Gabon
Kiongozi wa upinzani Gabon, Jean Ping, ametaka watu wasishirikiane na Ali Bongo kama kiongozi wa taifa baada ya uchaguzi wa Agosti uliokumbwa na mzozo.
View ArticleHispania yaendeleza rekodi ya kutokufungwa
Makosa ya kipa Gianluigi Buffon yameipa Hispania bao la kuongoza mjini Turin, lakini Italia ilipata nafasi ya kujiokoa baada ya Sergio Ramos kumwangusha Eder na Daniele de Rossi kusawazisha kwa penalti.
View ArticleNdanda yatishia kujiondoa Ligi Kuu
Timu ya soka ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara, imetishia kujitoa katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inayoendelea kutokana na kukabiliwa na ukata.
View ArticleGermany to pay convicted gays 30 million euros - media
Germany is to compensate more than 50 thousand men who were jailed for their sexual orientation under a historic law. Paragraph 175 continued to be applied until the late 1960s.
View ArticleShutuma zamuandama Chris Brown punde baada ya kutua Kenya
Shabiki mmoja mwanamke anatuhumu kuwa Chris Brown ameivunja simu yake alipojaribu kupiga picha 'selfie' alipowasili katika uwanja wa ndege Mombasa.
View ArticleSyrian forces retake rebel-held areas of Hama province
In a new advance, Syrian regime troops have regained several villages from rebels in central Hama province. The gains came ahead of a United Nations Security Council vote on Syria.
View ArticleAustrian police dog recovers severed finger
Surgeons have been able to reattach one of two fingers severed by a circular saw in Austria thanks to the keen nose of a police dog. The search animal was able to locate the unidentified woman's thumb...
View ArticlePresident Magufuli confirms Mr Kilaba as the new TCRA boss
President John Magufuli has appointed Mr James Kilaba as Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) Director General.
View ArticleWasichana wa Tanzania kujadiliana na Bi Obama Jumanne
Wasichana 25 wa Tanzania wanatarajiwa kufanya majadiliano ya moja kwa moja na mke wa Rais wa Marekani, Bi Michelle Obama wiki ijayo.
View ArticleSheria ya elimu haitekelezwi kwa vitendo
VYOMBO vya uamuzi nchini, vimetakiwa kutekeleza kwa vitendo Sheria ya Elimu ya mwaka 2015 iliyorekebishwa, ambayo inakataza wazazi kuozesha wanafunzi na kutoa adhabu kwa wanaowapa ujauzito na kukatisha...
View ArticleDiwani aililia wizara kumuokoa
DIWANI wa kata ya Mwakitolyo Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Limbe Agustine ameiomba Wizara ya Nishati na Madini kuingilia kati mgogoro uliopo wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu baada ya...
View ArticleWapewa mafunzo kutibu saratani
MADAKTARI 25 kutoka Tanzania na Kenya wamehudhuria mafunzo ya wiki moja ambayo yatawezesha kutambua na kusimamia matibabu ya saratani katika nchi zao.
View ArticleUhusiano duni wawagharimu wawekezaji na wananchi
KATIKA kile kinachowagharimu wawekezaji wengi na wananchi katika maeneo mbalimbali yaliyowekezwa kuwa na migogoro ni hali ya kuwepo kwa uhusiano duni miongoni mwa makundi hayo, imeelezwa.
View ArticleWaliochoma moto shule ya Moreto wakamatwe
WILAYA ya Bagamoyo mkoani Pwani, imesema kuwa itahakikisha wale wote waliohusika na uchomaji moto wa shule ya sekondari Moreto wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
View ArticleGhana Presidential Candidate Promises Inclusive Government
The presidential candidate for Ghana’s opposition All People’s Congress (APC) is promising an all-inclusive government, which, he says, is the only way to solve the myriad of problems Ghanaians face....
View Article