WILAYA ya Bagamoyo mkoani Pwani, imesema kuwa itahakikisha wale wote waliohusika na uchomaji moto wa shule ya sekondari Moreto wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
↧