Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

VIDEO: John Bocco na Mzamiru Yassin walivyoifungia Simba leo vs Ruvu Shooting

$
0
0
Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumapili ya February 4 2018 imeendelea tena wekundu wa Msimbazi Simba wakishuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguuko wa pili  wa Ligi, Simba imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, magoli ya Simba yakifungwa na John Bocco na Mzamiru Yassin. Okwi amedaiwa kupoteza […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>