Simba yaivaa Ruvu Shooting kibabe
Ruvu Shooting imekuwa na unyonge dhidi ya Simba tangu ilipopanda Ligi Kuu mwaka 2010.
View ArticleYanga Kanyaga twende
YANGA gari ndio limewaka hivyo, watetezi hao wa Ligi Kuu Bara jana kwa mara ya pili mfululizo walipata ushindi katika mechi za ugenini baada ya kuifumua Lipuli ya Iringa, huku kiungo wake fundi, Papy...
View ArticleAnapambana kubadilisha fikra za wafungwa nchini
Anaposema amewahi kufungwa miaka 16 jela kwa kosa la mauaji na ujambazi unaweza usiamini kutokana na mwonekano wake na jukumu kubwa alilobeba la kubadilisha fikra za walimwengu hususani vijana...
View ArticleTunafanya mno yanayotakiwa kufanywa na watoto wetu
Inawezekana sisi sote ni wendawazimu, lakini wendawazimu ambao tumejiweka ukomo wa kiwango cha kuonyesha uwendawazimu wetu; na ndiyo maana inapotokea mtu akafanya kuzidi kiwango tulichojiwekea ni...
View ArticleEnock Jonas aja kivingine
Baada ya kubamba kwenye wimbo wa ‘Zunguka Zunguka’ na baadae ‘Kizunguzungu Kimewapata’ mwimbaji wa nyota wa muziki wa Injili nchini, Enock Jonas sasa amekuja kivingine.
View ArticleUpo umuhimu wa kulinda na kuheshimu haki za watoto
Ni dhahiri kwamba malezi tuwapatiayo watoto huwa ndiyo msingi wa mustakabali wao. Maisha ya mtu hutegemea sana msingi wa malezi aliyopata tangu angali mchanga.
View ArticleMtanzania Oman alia kipigo cha penalti
KIUNGO wa Kitanzania, Salum Shebe anayeichezea Al-Mudhaibi ya Oman, amesema hawakustahili kuondolewa na Sohar kwenye kombe la mfalme, Sultan.
View ArticleMbio za Nusu Marathoni yafana Zanzibar
Washiriki kutoka ndani na nje ya nchi wakitoana jasho katika mashindano ya nusu Marathoni yaliyofanyika leo Washiriki kutoka ndani na nje ya nchi wakitoana jasho katika mashindano ya nusu Marathoni...
View ArticleMozambique deports 4,000 foreign nationals
Mozambique authorities deported at least 4,000 foreign nationals in a crackdown against illegal migration in 2017 alone, officials said.
View ArticleTSHISHIMBI AWEKA REKODI TATU IRINGA
NA MAREGESI NYAMAKA, IRINGA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lipuli FC, mchezo uliochezwa Uwanja wa Samora, mkoani Iringa, huku...
View ArticleEcuador votes on term limits to decide ex-president Rafael Correa's political...
A 'yes' vote in a referendum will mean Correa will not be able to join the 2021 election race. Polls show Ecuadorean President Lenin Moreno could spell the political death of his former mentor.
View ArticleShinikizo zaidi lamkabili rais Zuma ajiuzulu
Rais Zuma anakabiliwa na tuhuma za rushwa na jitihada za wapinzani na baadhi ya wafuasi wa ANC wanaotaka kumtimua madarakani.
View ArticleVIDEO: Okwi amedaiwa kupoteza fahamu uwanjani baada ya kupigwa kiwiko
Moja kati ya matukio yaliyotokea katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba ni kitendo cha mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi kudaiwa kuwa alipoteza fahamu baada ya kupigwa kiwiko...
View ArticleVIDEO-Hatimaye Wastara aondoka kwenda India
MSANII wa filamu, Wastara Juma, ameondoka nchini leo Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu na amewashukuru Watanzania kwa kusema, hatawasahau mpaka anakufa.
View ArticleVIDEO: John Bocco na Mzamiru Yassin walivyoifungia Simba leo vs Ruvu Shooting
Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumapili ya February 4 2018 imeendelea tena wekundu wa Msimbazi Simba wakishuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguuko wa pili...
View ArticleSimba wamedhamiria kutwaa taji la VPL kweli !!!!
Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumapili ya February 4 2018 imeendelea tena wekundu wa Msimbazi Simba wakishuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguuko wa pili...
View ArticleAlliance, Biashara hao ligi kuu
KIKOSI cha Alliance FC cha jijini Mwanza, leo Jumapili kimeweka historia mpya kwenye medani za soka baada ya kufudhu kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao kwa kuilaza JKT Oljoro mabao 2-1.
View ArticleMbao yaichapa Kagera Sugar mabao 2-1
KIKOSI cha Mbao FC, kimeibuka na ushindi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, baada ya kuitandika Kagera Sugar mabao 2-1, katika mchezo ligi kuu.
View Article“Kauli zetu zinaweza zisiifurahishe Serikali, hili ni tatizo kubwa” –Hussein...
Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alisimama Bungeni Dodoma na kuchangia mapendekezo yake katika hoja tatu zilizowasilishwa na Serikali ambazo ni Hoja za kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, hoja ya...
View ArticleWaziri mkuu ashauri kuanzishwa taasisi ya watu wenye ulemavu
Serikali imebariki uanzishwaji wa taasisi ya Dk. Reginald Mengi Disabled Foundation yenye lengo la kusaidia walemavu nchini.
View Article