Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Askofu Mtetemela atoa neno kwa viongozi wa dini

Amesema migogoro huleta chuki na roho ya kulipiza kisasi

View Article


Je, ni dalili gani zinaashiria kuwa na tatizo la kiafya?

Kutokana na shughuli za kila siku na sababu zitokanazo na hali ya hewa, ni kawaida kupatwa na uchovu na maumivu ya baadhi ya viungo au mwili mzima. Lakini hali huwa ni ya muda mfupi tu na baadaye...

View Article


Serikali kutoa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana

Chanjo kuanza kutolewa Aprili, 2018 

View Article

China inaishutumu Marekani kuhusu sera yake ya nyuklia

China imejiunga na Urusi kushutumu sera mpya ya Marekani ya kuunda mabomu madogo ya atomiki

View Article

VideoMPYA: Ni time ya kuenjoy video mpya, ni ‘Hoi’ ya Genevieve

Mabibi na Mabwana tunakaribishwa kuitazama Video Mpya ya mkali mwingine anaepatikana kwenye kiwanda cha bongofleva, jina lake ni Genevieve, wimbo unaitwa Hoi usisahau ku-drop comment yako ukishaitazama...

View Article


KIAPO CHA RAILA ODINGA: UHAINI, UKANDAMIZAJI, USALITI WA KISIASA KENYA

NA MARKUS MPANGALA | JANUARI 31, mwaka huu, Taifa la Kenya liliweka rekodi ya kipekee ambayo inakuwa ya pili katika duru ya kisiasa na kisheria nchini humo, kama si duniani. Rekodi ya kwanza iliwekwa...

View Article

Six Africans injured in 'racial' drive-by shooting spree in Italy

A shaven-headed far-right supporter suspected of wounding six Africans Saturday in brazen drive-by shootings in central Italy was arrested, as the country's interior minister said "racial hatred" had...

View Article

Maldives government warns Supreme Court against impeaching President Yameen...

The Maldives government claims the Supreme Court is trying to oust President Yameen Abdul Gayoom, who has refused to obey the top court's order to release political prisoners, including former...

View Article


MISINGI IMARA HUJENGA FURAHA KWA FAMILIA

Na MWANDISHI WETU BAADHI ya familia kutokana na uwezo walio nao zimeweka utaratibu wa kuishi na watu tofauti wakiwamo watoto au mfanyakazi wa nyumbani ‘house girl’. Maisha hayo hukutanisha watu ambao...

View Article


CloudsFM Top 20: List ya Ngoma kali 20 za wiki, Februay 4, 2018

Takribani dakika 120 kila Jumapili kupitia Clouds FM ikiwa ni kuanzia saa 5:00 Asubuhi hadi saa 7:00 Mchana zinasikika nyimbo 20 kali za wiki kwenye Clouds FM Top 20 ambapo kama kawaida wiki hii chati...

View Article

Wabunge Chadema, CUF wamjulia hali Sugu mahabusu

Pia waenda kumfariji mama wa Sugu nyumbani kwake.

View Article

Hospitali ya Aga Khan kuhamasisha upimaji saratani

Titlle: Hospitali ya Aga Khan kuhamasisha upimaji saratani

View Article

Nusu Marathoni yafana Zanzibar

 Washiriki kutoka ndani na nje ya nchi wakitoana jasho katika mashindano ya nusu Marathoni yaliyofanyika leo  Washiriki kutoka ndani na nje ya nchi wakitoana jasho katika mashindano ya nusu Marathoni...

View Article


Simba yaikaribisha Ruvu Shooting ikiwa kileleni

Ruvu Shooting imekuwa na unyonge dhidi ya Simba tangu ilipopanda Ligi Kuu mwaka 2010.

View Article

Indian oil tanker and crew missing off Africa's west coast

The ship was carrying $8.1 million dollars (€ 6.4 million) worth of gasoline when it disappeared on Thursday. Fears are held for the crew of 22 Indian nationals amid speculation the tanker has been...

View Article


Pass to reach out to over 150,000 horticultural farmers, exporters in new deal

Over 150,000 horticultural farmers, exporters and other players in the industry will benefit from credit guarantees from Private Agricultural Sector Support (Pass).

View Article

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Akifungua Mkutano wa...

View Article


Tetesi za soka Jumapili 4.02.18

Arsenal inatarajiwa kujiunga katika kumfukuzia mchezaji wa kiungo cha kati wa Leicester,Riyad Mahrez.

View Article

Mzambia amtega Mfaransa wa Simba

VINARA wa Ligi Kuu Bara Simba, leo Jumapili itashuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Ruvu Shooting, likiwa pambano la pili kwa Kocha Mfaransa, Pierre Lechantre.

View Article

Siku 14 matata za watani

MASHINDANO ya Kimataifa hayajawahi kuziacha timu za Tanzania salama. Simba na Yanga zitalazimika kuvuta soksi ili kuweka hesabu zao sawa baada ya ratiba yao kuonyesha kuwa wanakabiliwa na siku 14 za...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>