Kampuni ya Samsung Afrika Mashariki (SEEA) imeahidi kuwabadilishia au kuwarudishia gharama zao wateja wote walionunua simu aina ya Samsung Galaxy Note 7.
↧