Wapinzani, Maalim Seif lao moja
Baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed kumkataza Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumza misikitini kwa kuwa anakiuka utaratibu,...
View ArticleVigogo kortini wakidaiwa kuomba rushwa
Vigogo watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Ephraim Mgawe (62) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DB Shapriya and Company Ltd, Kishor Shapriya (60)...
View ArticleWataka maofisa polisi wawajibishwe
Wakazi wa mji wa Himo wilayani Moshi, wamehoji hatua ya polisi kutowawajibisha maofisa wake wawili wanaohusishwa na mtandao wa wizi wa magari.
View ArticleWasomi wanena uchaguzi wa mameya Dar
Baada ya kuibuka malumbano katika uchaguzi wa meya Manispaa za Kinondoni na Ubungo baina ya CCM na vyama vinavyounda Ukawa, wasomi wameshauri kanuni zibadilike ili wanaochagua meya wawe madiwani wa...
View ArticlePakistan officians: Many killed in police center attack
Several militants stormed a police academy in southwestern Pakistan, killing at least 40 people and injuring some 100 more. Baloch separtists and Islamic militants are active in the region.
View Articlemchakato wa mabadiliko ya soka wapitishwa
Mambo 10 yamepitishwa kwenye kongamano la mabadiliko ya uendeshaji wa klabu za soka nchini ambalo pia limeridhia mchakato wa mabadiliko ya soka ingawa kwa sharti kwamba yafanyike kwa haki.
View ArticleUchaguzi RT Novemba
Wakati fomu za kuwania uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) zikianza kutolewa leo, kwenye Shirikisho la Riadha (RT) mambo yamebadilika baada ya kamati tendaji kuamua uchaguzi huo ufanyike...
View ArticlePrisons kusaka washambuliaji
Benchi la Ufundi la klabu ya Tanzania Prisons limesema kuna tatizo kubwa kwenye safu yao ya ushambuliaji na katika usajili wa dirisha dogo wanatarajia kufanya mabadiliko ya maana zaidi kwenye safu hiyo.
View ArticleWajasiriamali 280 kukutana Pwani
Wajasiriamali 280 kutoka mikoa ya Kanda ya Mashariki, wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya tisa yatakayofanyika wilayani Bagamoyo, Pwani.
View ArticleDC aliyeshurutisha wananchi kulipa michango afuta amri yake
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Geoffrey Mwambe amefuta amri ya kutaka wananchi kuchangia maendeleo baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mathew Mtigumwe.
View ArticlePolisi yakemea wavamizi wa migodi
Kahama. Polisi mkoani Shinyanga imeonya wachimbaji wadogo wa madini wanaovamia maeneo yanayomilikiwa kihalali na watu wengine.
View ArticleMsikiti mkubwa kujengwa Dar
Dar es Salaam. Mfalme Mohammed VI wa Morocco, amezindua ujenzi wa msikiti mkubwa jijini Dar es Salaam utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 6,000 kwa wakati mmoja.
View ArticleZimbabwean Scientists Unveil Maize Seeds Resistant to Heat, Drought
Scientists in Zimbabwe say they have developed new heat- and drought-tolerant varieties of maize that may be ready for sale ahead of the next planting season. The seeds from the International Maize and...
View ArticleVenezuela's congress puts Maduro on trial
Opposition-controlled parliament in Venezuela has launched a political trial against President Nicolas Maduro for breaking constitutional order. In turn, the president accused the lawmakers of a...
View ArticleTurkey detains co-mayors of mainly Kurdish city of Diyarbakir
The co-mayors of Diyarbakir, known as the "capital" of the mainly Kurdish southeast of Turkey, have been detained on charges of aiding militants. It is part of a crackdown after a year of violence and...
View ArticleWWF now involves stakeholders to address illegal fishing
Dar es Salaam. Illegal fishing is still one of the major threats to the marine industry, says WWF, a global non-governmental organisation, as it involves different stakeholders to protect marine species.
View ArticleSamsung kuwafidia walionunua Galaxy Note 7
Kampuni ya Samsung Afrika Mashariki (SEEA) imeahidi kuwabadilishia au kuwarudishia gharama zao wateja wote walionunua simu aina ya Samsung Galaxy Note 7.
View ArticleSerikali yatafiti hali ya upatikanaji umeme
Kigoma. Wakala wa Umeme Vijijini (Rea) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti kuhusu hali ya upatikanaji wa nishati nchini.
View ArticleSelfie blackmail
Smartphones and social media are colliding with notions of honour and shame in conservative societies - with devastating effects on the lives of some young women.
View Article