Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783
↧

MOURINHO ATIMUA WATU OLD TRAFFORD

$
0
0
MANCHESTER, England     JOSE Mourinho, amewaambia wachezaji wasio na mchango katika kikosi chake kusaka pa kutokea mapema kabla hajapitisha panga lake siku chache zijazo. Katika mazungumzo yake na wachezaji wa timu hiyo, aliwaambia wazi kuwa atakayetaka kuondoka zake hazuiliwi ila atakayebaki ajue anatakiwa kukaza. Mourinho aliongeza kuwa huenda aliwakosea baadhi ya nyota wake kikosini, lakini hakufanya makusudi, bali kwa lengo la mafanikio ya timu. Mkutano wake huo aliufanya baada ya mtanange wa fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea ambao Mashetani Wekundu hao waliangukia pua kwa kichapo cha bao 1-0. Kocha huyo ameelezwa kukerwa na baadhi ya mastaa, akiwamo Romelu Lukaku, amabaye alimchana live kuwa hakustahili kuingia ‘first eleven’ ya Man United wakati ilipovaana na Blues. The post MOURINHO ATIMUA WATU OLD TRAFFORD appeared first on Bingwa.
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>