Spika asema fedha za korosho zilimliza waziri kama mtoto
Ni Spika wakati akihitimisha hoja ya nape kuhusu fedha za korosho ghafi za wakulima
View ArticleRooney atua Washington, akaribia kuihama Everton
Washington.Wayne Rooney ametua Washington, Marekani kwa ajili ya kukamilisha mazingumzo na kufanya vipimo leo Alhamisi kuhusu uhamisho wake kutoka Everton kwenda DC United. Jana, Rooney alikatisha...
View ArticleUnai Emery ahakikishiwa usajili wa kiwango Arsenal
Emery amechukua mikoba ya Arsene Wenger ambaye ameiongoza Arsenal kwa takribani miaka 22
View ArticleAINA YA SUMU MWILINI, NAMNA YA KUZITOA
SUMU ni kitu chochote ambacho kinaweza kuingia mwilini na kusababisha mifumo ya mwili ishindwe kufanya kazi ipasavyo. Kutegemeana na namna ambavyo sumu inategenezwa, pia namna ambavyo inampata mtu,...
View ArticleUTAFITI: KITAMBI KINAONGEZA HATARI YA KUPATA SARATANI
JOSEPH HIZA NA MASHIRIKA TUNAISHI katika jamii ambayo uzito wa kupita kiasi umekuwa sehemu ya mila na desturi yetu– licha ya kwamba ushahidi umeonesha kuwa uzito kupita kiasi au unene una athari mbaya...
View ArticleWADAU WAITAKA SERIKALI KUMWEZESHA MWANAMKE SEKTA YA KILIMO
Johanes Respichius, Dar es Salaam Wadau wa kilimo nchini wameitaka Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kutambua nafasi ya mwanamke na kumpa kipaumbele kwa kumwekea mazingira wezeshi ili kufanya kilimo...
View ArticleWAZIRI AWATAKA WAISLAMU WACHUKUE LIKIZO MFUNGO WA RAMADHAN
COPENHAGEN, DENMARK PENDEKEZO la Waziri wa Uhamiaji wa Denmark, Inger Stojberg linalowataka Waislamu kuchukua likizo wakati wa mwezi wa Ramadhani kwa ajili ya usalama wa jamii nzima limeshutumiwa...
View ArticleMH17 was downed by Russian military missile: international investigators
International investigators have said detailed analysis of video images showed the missile used to down the Malaysian flight came from a Russian military unit.
View ArticleTanzanian University launches an App that tracks Ebola
Morogoro Researchers at Sokoine University of Agriculture (SUA) have come up with a digital surveillance app to empower communities report infectious diseases
View ArticleMOURINHO ATIMUA WATU OLD TRAFFORD
MANCHESTER, England JOSE Mourinho, amewaambia wachezaji wasio na mchango katika kikosi chake kusaka pa kutokea mapema kabla hajapitisha panga lake siku chache zijazo. Katika mazungumzo yake na...
View ArticleRONALDO AKEJELI NEYMAR KWENDA REAL MADRID
MADRID, Hispania CRISTIANO Ronaldo amecheka baada ya kuulizwa juu ya staa Neymar kutua Real Madrid na kisha kusema ni kawaida kwa timu hiyo kuhusishwa na tetesi za usajili, hivyo huenda hata hizo...
View ArticleBABU TALE AENDELEA KUSOTA MAHABUSU
NA KULWA MZEE MENEJA wa staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamis Shaban Taletale (Babu Tale), ataendelea kusota mahabusu hadi msajili aliyetoa amri ya kukamatwa kwake atakapokuja...
View ArticleMakocha hawa wajiweka sokoni, rekodi zawabeba
Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikielekea ukingoni, makocha 12 wanatarajiwa kupandisha presha ya vigogo wa klabu tofauti katika mbio za kusaka saini zao kabla ya msimu mpya kuanza.
View ArticleLechantre ataja usajili Simba SC
Simba imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka mitano
View ArticleKamati ya Bunge yaishukia Serikali kuchelewesha malipo ya makandarasi
Licha ya makandarasi kuwasilisha maombi ya malipo ya awali tangu Agosti 2017, ulipaji ulichukua takriban miezi minne
View ArticleKombora lililoidungua ndege ya Malaysia lilikuwa la Urusi
Watu wote 298 waliokuwa ndani ya ndege ya Boeng 777 waliuawa wakati ilivunjika vipande ikiwa safarini kutoka Amsterdam kwenda Kuala Lumpur
View ArticleWanasayansi Kenya wavumbua dawa ya Malaria kwa waja wazito
Dawa hiyo imefanyiwa majaribio na imegunduliwa kuwa salama kwa matumizi ya kuzuia Malaria kwa wanawake walio na miezi kati ya 4 hadi 9 ya uja uzito.
View ArticleLUGHA NZURI NI SILAHA YA KUKUJENGEA UAMINIFU
Na Christian Bwaya UNAYE rafiki wa siku nyingi lakini miaka kadhaa imepita hamjawasiliana, leo asubuhi amekuandikia ujumbe mfupi wa maneno akisema: “Habari za siku ndugu yangu, unaendeleaje na maisha?...
View ArticleSIRI YA KUWA NA FAMILIA YENYE UTULIVU
Na Christian Bwaya SOTE tunatamani kuwa na familia zenye utulivu. Utulivu una mambo matatu makubwa, kwanza; kuelewana. Kila mwanafamilia ni muhimu ajue mwenzake ana mahitaji gani, anapenda nini,...
View ArticleKocha Emery aanza mbwembwe Arsenal
Unai Emery ndiye mrithi wa Arsene Wenger katika kikosi cha Arsenal na muda mfupi tu ameahidi kuisuka timu hiyo.
View Article