Dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuwatetea Watanzania wanyonge. Ni kauli ambayo imekuwa ikizungumzwa mara kadhaa na Rais John Magufuli. Kinachofanywa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kunusuru kaya maskini nchini ndiyo lengo la Serikali.
↧