Viongozi wa Chadema, akiwamo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wanaokabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wamekwenda Mahakama Kuu kupinga uamuzi kuhusu mwenendo wa shauri lao.
↧