Klabu ya Barcelona ya Hispania, imewastusha wengi baada ya kumrudisha Guangzhou Evergrande kiungo wake wa kibrazil, Paulinho, iliyemsajili kiangazi cha mwaka jana.
↧