Exports to Germany fall by 30pc
Tanzania exports to Germany dropped by 30 per cent last year compared to the previous year, following the decrease of raw materials and exports from the mining sector.
View ArticleJoshua kuzipiga Wembley Stadium
Bondia bingwa wa Dunia uzito wa juu duniani, Anthony Joshua wa Uingereza, amesaini mikataba miwili ya kuzipiga kwenye uwanja wa Wembley, nchini Wales.
View ArticleBarcelona yamtosa Paulinho
Klabu ya Barcelona ya Hispania, imewastusha wengi baada ya kumrudisha Guangzhou Evergrande kiungo wake wa kibrazil, Paulinho, iliyemsajili kiangazi cha mwaka jana.
View ArticleSijatenda haki najiuzulu – Hierro
Shirikisho la soka Hispania, limemshukuru aliyekua Kocha wa muda wa timu ya Taifa, Fernando Hierro aliyejizulu wadhifa huo juzi, akisema anawajibika kwa kushindwa kuipa mafanikio katika fainali za...
View Article#WC2018: Penalti zavunja rekodi Russia
Fainali za Kombe la Dunia zimefika hatua ya nusu fainali baada ya timu nne kukata tiketi.
View ArticleChanjo ya Ukimwi yaanza kutoa matumaini
Chanjo ya HIV ambayo ina uwezo wa kuwalinda watu duniani dhidi ya virusi hivyo imeonyesha matumaini jambo ambalo limetoa matumaini kuhusiana na harakati za kukabiliana na virusi vya ugonjwa huo.
View Article#WC2018: Modric asema Russia habari nyingine
Wakati Croatia ikitarajiwa kuvaana na England katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia, Luka Modric amesema mechi ya juzi usiku dhidi ya Russia ilikuwa ya aina yake.
View Article#WC2018: Neymar abadili gia, amgeukia Mungu
Baada ya kuondolewa katika Fainali za Kombe la Dunia, mshambuliaji nyota wa Brazil, amesema ni Mungu pekee anayeweza kumpa nguvu ya kurejea uwanjani akiwa kwenye kiwango bora.
View Article#WC2018: Kilichoipeleka nusu fainali England hiki
Kocha wa England, Gareth Southgate amesema mafanikio ya timu hiyo katika Fainali za Kombe la Dunia, yametokana na ujasiri wa wachezaji.
View Article#WC2018: Ishu zenu za mademu huko huko, wao soka tu
WAKATI ule mtindo wa wanasoka mastaa wa kutoka na warembo wanamitindo au waigizaji ukionekana kubamba zaidi, utashangaa kuna wanasoka wengine wao wala hawangaiki na mapenzi.
View Article#WC2018: Hadi utamu wa Russia utakapoisha kitakuwa kimeeleweka
FAINALI za Kombe la Dunia kule Russia zimebakiza mechi nne tu kufika tamati na klabu za Ligi Kuu England zimeshaanza kujifua kwa ajili ya msimu ujao.
View Article#WC2018: Rais wa Croatia apagawa russia
USIKU wa juzi Jumamosi ulimwengu wa soka ulishuhudia maajabu ya soka. Nguvu ya imani, ndoto na umoja unavyoweza kufanya kazi kwa pamoja na kuleta mafanikio hata pale inapoonekana kutokuwepo kabisa.
View Article#WC2018: Russia kimewaka
RUSSIA hakueleweki. Kumetibuka. Kesho Jumanne na keshokutwa Jumatano zitapigwa nusu fainali mbili kutoka katika timu nne ambazo tayari zimeshangaza kufikia hatua zilizofikia mpaka sasa.
View ArticleJhpiego takes male circumcision message to legislators
A campaign to prevent the spread of HIV in Tanzania through male circumcision reached Members of Parliament (MPs) recently, thanks to an initiative by Jhpiego.
View ArticleSagcot urged to find solution to farmers issues
The Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (Sagcot) has been urged to collaborate with other stakeholders to find a lasting solution to challenges raised during the just ended annual review...
View ArticleShughuli ya uokoaji wa watoto waliokwama pangoni yang'oa nanga Thailand
Watoto wanne wameokolewa wakiwa hai kati ya 12 waliokwama ndani ya pango lililojaa maji huko nchini Thailand,huku jitihada za uokoaji zikiwa zimesitishwa kwa muda katika kazi hiyo inayotajwa kuwa ni...
View ArticleHaiti civil unrest continues despite fuel hike rollback
Looters burned and vandalized shops in the Haitian capital Port-au-Prince as protests over fuel price rises entered a third day. Several US church groups and volunteers are stranded with most flights...
View ArticleSura ngumu za askari wa Russia zilivyolainika
Jiji la Moscow limepokea mashabiki na wageni zaidi ya milioni moja kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia zinazotamatika wiki ijayo tu.
View ArticleRussia: Tumeng’olewa kishujaa Kombe la Dunia
Russia ambayo awali haikupewa nafasi ya kutamba katika Fainali za Kombe la Dunia imeondolewa kwa penalti, lakini kocha Stanislav Cherchesov, amesema wameng’olewa kishujaa.
View ArticleUFARANSA VS UBELGIJI: Watoto wa wazamiaji waliotoka Afrika
Mwishoni mwa miaka ya 1970 na miaka ya 1980, Waafrika wengi walikimbilia Ulaya kutafuta maisha kwa kile walichodai hali ngumu. Wapo waliodiriki kuteka hata ndege waende Ulaya, wapo waliokuwa wakishinda...
View Article