USIKU wa juzi Jumamosi ulimwengu wa soka ulishuhudia maajabu ya soka. Nguvu ya imani, ndoto na umoja unavyoweza kufanya kazi kwa pamoja na kuleta mafanikio hata pale inapoonekana kutokuwepo kabisa.
↧