Watoto wanne wameokolewa wakiwa hai kati ya 12 waliokwama ndani ya pango lililojaa maji huko nchini Thailand,huku jitihada za uokoaji zikiwa zimesitishwa kwa muda katika kazi hiyo inayotajwa kuwa ni hatari kwa waokoaji pia kwani tayari mzamiaji mmoja amefariki dunia katika kazi hiyo.
↧