Wafugaji wa Kijiji cha Kiruani Kata ya Msitu wa Tembo, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wamelalamikiwa kuingiza mifugo kwenye mazao na kuzua mgogoro baina yao na wakulima.
↧