Ivory Coast votes in poll likely to bolster President Ouattara
Voters in Ivory Coast are set to elect their parliament in a political field dominated by President Ouattara. The president has received praise for the country's economic progress but criticism for his...
View ArticleMWENYE SIFA HIZI HAKUPENDI, UNAPOTEZEWA MUDA – 2
KUWA na mpenzi pekee hakuwezi kuwa na maana ikiwa mpenzi wako anakutesa na kukunyima furaha maishani mwako. Raha ya mapenzi ni kufurahia, ikiwa unahisi mateso na maumivu kila siku, inakupasa ufikiri...
View ArticleWANASOKA WETU WAJIFUNZE KWA KINA NDIKUMANA, NONDA SHABANI
NA JUMA KASESA, BUJUMBURA WAKO wapi Emmanuel Gabriel, Nico Nyagawa, Mussa Hassan Mgosi, Victor Costa ‘Nyumba’ na wengineo ambao walicheza na straika Mrundi Selemani Ndikumana wakati ule wa kikosi cha...
View ArticleMpiganaji wa IS awaua wanajeshi 40 Yemen
Mshambuliaji wa kujitolea kufa katika mji wa bandarini Aden amewauwa wanajeshi 50 na kuwajeruhi wengine wengi
View ArticleCCM TUMEWASIKIA, KIVULI KINAWATISHA
KILA kinachoangaziwa na mwanga duniani lazima kiwe na kivuli ambacho huakisi umbile lake kutokana na mwelekeo unakotoka mwanga unaokimulika. Kisayansi kuna aina tatu kuu za vivuli, kilichokoza (Umbra)...
View ArticleWATAFUNA NCHI WATADHIBITIWA KWA MWENDOKASI?
Na Dennis Luambano, Dar es Salaam HAKUNA ziada mbovu. Kwa sababu watu mbalimbali wakiwamo wanaharakati na wanasiasa wamepaza sauti zao na kuelezea namna wajanja wachache wanavyojitajirisha kwa njia za...
View ArticleTUWE MAKINI NA HOMA YA ZIKA
WIKI hii kumejitokeza kile unachoweza kukiita kukinzana kuhusu kuwapo au kutokuwapo kwa ugonjwa wa homa ya zika nchini. Virusi vya ugonjwa huo tayari vimeleta hofu kubwa katika nchi za Amerika ya...
View ArticleReport: Buses enter Syria's Aleppo for new evacuation push
Vehicles have started entering the last rebel-held corner in Aleppo, preparing to resume aborted evacuations, media say. A fragile deal would see rebels leave Aleppo as regime supporters escape other...
View ArticleNaibu waziri abaini madudu miradi ya maji
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe amebaini miradi ya maji kutoka wilaya za Korogwe hadi Handeni kutumia fedha nyingi huku ikiwa haina kiwango wala tija kwa wananchi.
View ArticleChina, Tanzania waendeleza ushirikiano
Halmashauri ya Jiji la Arusha imesaini mkataba wa makubaliano (Mou) wa mwaka mmoja na Serikali ya Jimbo la Huangshi, China ili kufungua fursa za kilimo, biashara, sayansi na teknolojia.
View ArticleMkurugenzi TPA alia na wanasiasa
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Deusdedit Kakoko amedai kuwa kuna wanasiasa wamekuwa wakimtisha asitekeleze majukumu yake aliyopewa na Rais John Magufuli ya kuiboresha mamlaka.
View ArticleWakulima walalama Simanjiro
Wafugaji wa Kijiji cha Kiruani Kata ya Msitu wa Tembo, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wamelalamikiwa kuingiza mifugo kwenye mazao na kuzua mgogoro baina yao na wakulima.
View ArticleADHABU ZA WATOTO ZISITOLEWE ADHARANI
HATUA za makuzi anazozipitia mtoto ni wazi kuwa yapo makosa ambayo anayafanya na kuhitaji kukanywa kama motto, pia vipo vitu ambavyo anapaswa aelekezwe. Mtoto anapokosea mzazi unapaswa kutumia...
View ArticleWAPO NA WENGINE SI DANGOTE TU
Na Markus Mpangala NAANDIKA safu hii nikiwa safarini mkoani Ruvuma katika Kijiji cha Amanimakolo kilichopo Wilaya ya Mbinga. Eneo la Amanimakolo ndicho kiini cha makusanyo ya makaa ya Mawe chini ya...
View ArticleCCM YA MAGUFULI KUFUNGA MKANDA UKAZE NA KAMBA
NA EVANS MAGEGE CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), chini ya uongozi wa Rais John Magufuli kinajidhihirisha sasa kuingia kwenye mlengo mgumu zaidi dhidi ya maisha ya mazoea ambayo yametawala fikra za Wana-CCM...
View ArticleDebutants Guinea Bissau name preliminary Nations Cup squad
Nine new players are named by Guinea Bissau in a preliminary squad of 35 for next month's Africa Cup of Nations as they prepare to make their debut in Gabon.
View ArticleEiffel Tower reopens after workers' strike
France's most famous landmark, the Eiffel Tower in Paris, has resumed operations after its 300-strong workforce settled a row with the management. Up to 20,000 people per day visit the tower during the...
View ArticleAt least 48 dead in Yemen suicide bombing
The suicide bomber's target was a group of soldiers gathered outside an army base. It is the second such attack on the same base in under a week.
View ArticleKagame: ICC inaihujumu Afrika
PAUL Kagame, Rais wa Rwanda amesema hana mpango wakujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kwa madai ya kuundwa kisiasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticleDk. Shein atibua msikitini, mabomu yarindima
KUTAJWA kwa jina la Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein ndani ya msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kangagani, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba kumesabisha vurugu, anaandika Faki Sosi. Waumini...
View Article