Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

Real Madrid yashinda kombe la klabu bingwa duniani

Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick na kuinusuru Real Madrid kuishinda klabu ya Japan Kashima Antlers katika muda wa ziada

View Article


YANGA YAIENGUA SIMBA KILELENI

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya Yanga, wameanza vema mzunguko wa pili wa ligi hiyo baada ya kuifunga JKT Ruvu mabao 3-0, jana katika Uwanja wa Taifa,...

View Article


Rais Kenyatta adai mataifa ya kigeni yanaingilia siasa za Kenya

Rais Uhuru Kenyatta amesema mataifa ya kigeni, yanatumia fedha kufadhili mashirika ya kiraia kwa lengo la kuingilia siasa za Uchaguzi Mkuu mwaka 2017. Je, kuna ukweli katika hili ? Victor Abuso...

View Article

Opinion: Electoral College part of a broken system

DW's Jefferson Chase says that the electoral college symbolizes the shortcomings of how the US chooses its president. But the real problem is that the set-up does not reflect the wishes of the majority...

View Article

Let’s wage campaign against mosquitoes

National Institute for Medical Research (NIMR) director general Mwele Malecela has been shown the door a day after the media quoted her as saying a study had established that 87 out of 533 screened...

View Article


Waasi wachoma mabasi ya uokoaji watu Syria

Mabasi kadhaa yaliokuwa yakielekea kuwaokoa wagonjwa na watu waliojeruhiwa katika kijiji kinachomilikiwa na serikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria yamechomwa

View Article

Mabasi ya kuwahamisha wkazi yaingia Aleppo

Shirika la habari la Syria, SANA, linaripoti kwamba mabasi ya kuwahamisha wakazi wa Aleppo yanayosimamiwa na Hilali Nyekundu na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu, ICRC, yameingia katika mita ya...

View Article

Kurds in Germany: Fear is in the air

The tense situation in Turkey is mirrored within Germany. The Kurdish community here is growing increasingly afraid.

View Article


Hat-trick ya Ronaldo yaipa Madrid ndoo ya Dunia

Kama ulikuwa unadhani mwaka 2016 hautakuwa bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo, basi mambo yamekuwa tofauti. Leo Jumapili December 18, Raeal Madrid imecheza dhidi ya Kashima Antlers kwenye bonge moja...

View Article


Former Israeli president Katsav paroled from rape sentence

Former Israeli President Moshe Katsav has been granted early release from prison after serving five years of a seven-year sentence. Katsav was convicted in 2010 on two counts of rape and other sexual...

View Article

NAMNA BORA YA KUMFANYA MWENZAKO AZIDI KUKUPENDA

KILA aliye katika uhusiano wa kimapenzi na mtu anayempenda sana anatamani mwenzake azidi kumpenda. Hiki ni kitu cha uhakika kabisa. Hakuna ambaye yuko na mtu na anampenda kwa dhati ila hataki mwenzake...

View Article

HISTORIA, REKODI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA

LONDON, England MICHUANO ya Ligi ya Mbingwa Ulaya ilianzishwa mwaka 1952. Mwanzoni ni mabingwa wa nchi wanachama wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) ndio waliokuwa wakishiriki, tena walikuwa...

View Article

Bodi ya MecoB yapewa kazi ya kuinusuru benki

Wanahisa wa Benki ya Wananchi ya Meru (MecoB) wameiagiza bodi na menejimenti kuchukua hatua za haraka kutafuta mwekezaji ili kuinusuru na tishio la kukosa sifa za kisheria zilizowekwa na Benki Kuu ya...

View Article


Mchele wa Usangu watafutiwa soko la kimataifa

Serikali imeahidi kutafuta soko la mchele Rwanda ili kuwezesha wakulima na wafanyabiashara kunufaika na zao hilo.

View Article

Papa Francis atafuta suluhisho kwa mvutano wa kisisa DRC

Papa Francis anajaribu kutafuta suluhisho kwa mzozo wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuwaita viongozi wa kanisa walokua wanaongoza juhudi za upatanishi kati ya serikali ya Joseph...

View Article


IKULU: Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo December 19, 2016

Leo December 19, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Wenyeviti 7 wa Bodi za Taasisi za Serikali, na pia ameteua Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji...

View Article

SIMBA HIYOO KILELENI

NA WAANDISHI WETU TIMU ya soka ya Simba imeendeleza ubabe katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya jana kuchomoza na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ndanda FC na kurejea kileleni mwa msimamo...

View Article


TFF INAPOJIVUA GAMBA UDANGANYIFU UMRI WA WACHEZAJI

Na ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM ULIMWENGU wa soka umeshuhudia mengi ya kusikitisha na mengine ya kuburudisha, hasa baada ya dakika 90 za uwanjani. Kuna wakati mwingine mchezo wa soka huitwa wa maajabu...

View Article

Military Deploys Across Congo's Capital as Kabila Stays on

Military and police deployed across Congo's capital on Monday amid fears of unrest on the last official day of President Joseph Kabila's mandate. He intends to stay on after the midnight deadline; a...

View Article

Maxence Melo amaliza siku 7 ‘kifungoni’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuachia kwa dhamana Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii media inayomiliki mtandao wa Jamii Forums baada ya kushikiliwa kwa takribani...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>