Mabasi kadhaa yaliokuwa yakielekea kuwaokoa wagonjwa na watu waliojeruhiwa katika kijiji kinachomilikiwa na serikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria yamechomwa
↧