Wanahisa wa Benki ya Wananchi ya Meru (MecoB) wameiagiza bodi na menejimenti kuchukua hatua za haraka kutafuta mwekezaji ili kuinusuru na tishio la kukosa sifa za kisheria zilizowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
↧