Cheka ampa Singh rekodi ya saba
Kipigo cha TKO alichopata bondia namba moja nchini, Francis Cheka juzi usiku kimempa rekodi ya saba mpinzani wake Mjerumani mwenye asili ya India, Vijender Singh.
View ArticleUkarimu wa JKT Ruvu kwa Yanga ‘kama uji na mgonjwa vile’
Takwimu hazidanganyi! Ndicho kinachoweza kuelezwa wakati mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ulipoanza juzi kwa maafande wa JKT Ruvu ‘kuifurahisha’ Yanga kwa mabao 3-0.
View ArticleSimba yajipigia Ndanda, Azam yakwaa kisiki
Soka ni mabao na hilo ndilo lililotokea kwa Simba iliyocheza bila malengo, soka isiyovutia lakini ikarejea kileleni mwa Ligi Kuu kwa kuichapa Ndanda FC ya Mtwara mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Nangwanda...
View ArticleWatu 41 wafariki kwa kunywa sabuni ya kuogea Urusi
Sabuni hiyo ilio majimaji ilitumika kama pombe kulingana na kamati ya uchunguzi nchini Urusi.
View ArticleVIDEO: Mahakama 20 za mwanzo kujengwa Dar es salaam
Waziri wa sheria na katiba Dkt Harrison Mwakyembe leo December 19 2017 alikutana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ili kujadili mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar es salaam ikiwa ni...
View Article‘Nimevutiwa na dakika 90’ za kwanza za Lwandamina, Kaseja, Agyei, Abdi Banda,...
Na Baraka Mbolembole Kocha huyu raia wa Zambia aliisimamia Yanga kwa mara ya kwanza katika mchezowa ligi kuu. Lwandamina aliyechukua nafasi ya Mholland,Hansvan der Pluijm ambaye sasa ni Mkurugenzi wa...
View ArticlePakistan to lift ban on Indian movies – a positive move
Pakistani cinema owners are set to resume the screening of Indian films after a two-month self-imposed ban linked to the Kashmir conflict. Can cultural exchange reduce hostilities between India and...
View ArticleMkuu wa chuo mstaafu apandishwa kizimbani
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo(LGTI), Emanuel Gibali na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani Mahakama ya Wilaya ya Dodoma kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh 12.4 milioni...
View ArticleAthumani Chama ‘Jogoo’: Ugonjwa wamlaza kitandani siku 700
Ilikuwa Jumatano ya Desemba 14, 2016, saa 10 jioni nimefika Yombo kwa Abiola, nyumbani kwa beki wa zamani wa Yanga, Athumani Juma Chama ‘Jogoo’ kwa ajili ya kupata habari zaidi baada ya kuelezwa kuwa...
View ArticleKenya: 2 Iranian Men in Israeli Embassy Case are Deported
Two Iranian men who were found with video footage of the Israeli Embassy in Kenya have been deported after a deal was reached to drop charges against them, Kenyan officials said Monday. The two men...
View ArticleIsraeli Police Detain Prominent Businessman on Suspicion of Bribery
Israeli police detained a prominent Israeli businessman on Monday on suspicion of bribing public officials in Guinea, a country with vast mineral deposits and mining operations, to promote his business...
View ArticleGambia President-elect Plans Inauguration Amid Vote Dispute
Gambia's president-elect says he is ready to take office in January despite the refusal by the West African country's longtime ruler to accept his election loss. “On the day his term expires, my term...
View ArticleUN Security Council unanimously backs sending monitors to Aleppo
The UN Security Council has voted unanimously to approve a joint text from France and Russia for UN observers to monitor the evacuation of civilians from Aleppo. Tens of thousands have left since the...
View ArticleTarimba: Nilichangia sana viongozi Simba kutimuliwa…
Wiki iliyopita tuliona sehemu ya mahojiano ya Spoti Mikiki na mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Tarimba Abbas. Katika moja ya majibu yake, alilalamikia watu wanaokwamisha mabadiliko katika klabu, hasa...
View ArticleAfDB yaimwagia Serikali mabilioni
Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Sh360 bilioni, kwaajili ya kuchangia Bajeti kuu ya Serikali katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2016/2017 pamoja na...
View ArticleVIDEO: ‘Kwanini mpaka sasa kuna kesi 1 tu Mahakama ya Mafisadi’ – Dr. Mwakyembe
Leo December 19 2016 Waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe alikwenda kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda leo ambao kwa pamoja wametangaza mipango mipya ya kuwasaidia...
View ArticleList ya kwanza ya mastaa watakaoperform kwenye tuzo za SoundCityMVP2016
Siku chache kufikia siku ya utoaji tuzo za Soundcity MVP, Kituo cha TV cha Sound City kimetangaza list ya kwanza ya wastaa wa muziki watakaoperform kwenye sherehe hizo na zipo taarifa kuwa kutakua na...
View ArticleMalinzi kumrejesha Pazi uwanjani
Mshambuliaji wa Mbeya City, Zahoro Pazi leo Jumatatu amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi kwa ajili ya kujadiliana juu ya tatizo lake la kuzuiwa kwa ITC yake na timu ya...
View ArticleTrying to give Kabila the red card
There is heavy security in DR Congo, as the president's term in office is due to expire.
View ArticleIsrael watches Syria warily
Israel is not intervening in the Syrian war, but the security establishment is watching it closely. Its biggest concerns: Iran's influence and a stronger Hezbollah. Miriam Dagan reports from Tel Aviv.
View Article