Kipigo cha TKO alichopata bondia namba moja nchini, Francis Cheka juzi usiku kimempa rekodi ya saba mpinzani wake Mjerumani mwenye asili ya India, Vijender Singh.
↧