Soka ni mabao na hilo ndilo lililotokea kwa Simba iliyocheza bila malengo, soka isiyovutia lakini ikarejea kileleni mwa Ligi Kuu kwa kuichapa Ndanda FC ya Mtwara mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
↧