Leo December 19 2016 Waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe alikwenda kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda leo ambao kwa pamoja wametangaza mipango mipya ya kuwasaidia Wananchi wa Dar es salaam kisheria. Pamoja na mambo mengine waziri Mwakyembe ameeleza jitihada mbalimbali ambazo wizara yake imekuwa ikizifanya ikiwemo uanzishwaji […]
The post VIDEO: ‘Kwanini mpaka sasa kuna kesi 1 tu Mahakama ya Mafisadi’ – Dr. Mwakyembe appeared first on millardayo.com.
↧