KUTAJWA kwa jina la Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein ndani ya msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kangagani, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba kumesabisha vurugu, anaandika Faki Sosi. Waumini wa walikubaliana kutotaja kabisa jina la Dk. Shein kwenye msikiti huo kutokana na makovu ya kisiasa yaliyotokea kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita lakini mtoa ...
↧