PAUL Kagame, Rais wa Rwanda amesema hana mpango wakujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kwa madai ya kuundwa kisiasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuhitimisha Baraza la Taifa la Umushirikiano (NUC) amesema, ICC imekuwa ikishiriki katika kuihujumu Afrika. Na kwamba, mahakama hiyo imeshindwa kuangazia viongozi wa ...
↧