Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe amebaini miradi ya maji kutoka wilaya za Korogwe hadi Handeni kutumia fedha nyingi huku ikiwa haina kiwango wala tija kwa wananchi.
↧