Halmashauri ya Jiji la Arusha imesaini mkataba wa makubaliano (Mou) wa mwaka mmoja na Serikali ya Jimbo la Huangshi, China ili kufungua fursa za kilimo, biashara, sayansi na teknolojia.
↧