Pakistan na Afghanistan katika mazungumzo yao wamerudia tena kwamba “utawala wenye mafanikio kwenye mpaka wao wanaoshirikiana ni muhimu kwa juhudi zinazolenga kupambana na ugaidi, kuhamasisha amani na kuimarisha uhusiano wa pamoja."
Ujumbe wa wanachama sita wa Afghanistan unaoongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan, Hekmat Khalil Karzai, ulitembelea Islamabad leo Jumatatu kwa mazungumzo na wenzao wa Pakistan.
Mkutano ulifanyika kufuatia siku kadhaa za mapambano...
↧