Zantel yanogesha tamasha la ‘Full Moon Party’ visiwani Zanzibar
Zantel yanogesha tamasha la ‘Full Moon Party’ visiwani ZanzibarKampuni ya simu inayoongoza visiwani Zanzibar,Zantel,mwishoni mwa wikii hii imefanikiwa kulinogesha tamasha la ‘Full Moon Party’...
View ArticleCCM Z'BAR YAPIGA MARUFUKU UVAMIZI WA SHAMBA LAKE KILOMBERO.
Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimepiga marufuku ujenzi holela na kazi mbali mbali za kudumu zinazofanyika katika shamba la...
View ArticleVIDEO: ‘Rais Magufuli amesema yeye awe wa kwanza kukatwa kodi’- Waziri Mpango
June 20 2016 bunge la 11 limeiandika headline ya kupitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, bajeti iliyopita mara baada ya wabunge washiriki kupiga kura. Lakini kubwa iliyosikika...
View ArticleIndia unveils sweeping investment reforms
India has announced a broad relaxation of foreign direct investment (FDI) rules in a number of key sectors, including aviation and defense. The move is part of an effort to open up the country's economy.
View ArticlePakistan na Afghanistan wamendelea kuamini ushirikiano wao
Pakistan na Afghanistan katika mazungumzo yao wamerudia tena kwamba “utawala wenye mafanikio kwenye mpaka wao wanaoshirikiana ni muhimu kwa juhudi zinazolenga kupambana na ugaidi, kuhamasisha amani na...
View ArticleBajeti ya Mwaka 2016/17 yapitishwa
Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17 imepitishwa na wabunge wote wanaohudhuria kikao cha leo jioni.
View ArticleWabunge Croatia wapiga kura kutaka bunge ivunjwe
Wabunge wa Croatia wamepiga kura leo Jumatatu kutaka kuvunjwa kwa bunge na kutoa njia ya uchaguzi mpya unaotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba.
View Article24 wauwawa kwa mlipuko nchini Afghanistan
Milipuko tofauti ya bomu nchini Afghanistan hii leo imeuwa watu wasiopungua 24 na kuwajeruhi kiasi cha 40 wengine. Shambulizi hilo lililosababisha vifo lilitokea mjini Kabul wakati mjitoa mhanga...
View ArticlePolisi wazuia mwanafunzi kuozwa
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na shirika la Agape mkoani Shinyanga limefanikiwa kuzuia kuozwa mwanafunzi wa darasa sita (16) wa shule ya msingi Mwigumbi katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga...
View ArticleBaba adaiwa kumbaka mtoto wake wa miaka mitatu
Jeshi la polisi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga linamshikilia mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Masagala kata ya Maganzo wilayani Kishapu, kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa miaka mitatu na kumsababishia...
View ArticleGerman man sentenced to prison for refugee home attack
A 29-year-old man has been sentenced to three years and three months in prison for an arson attack on a refugee home in the eastern German town of Altenburg. Politically motivated attacks in Germany...
View ArticleMatano ya kufahamu baada ya kadi za UDART kuanza kutumika
Abiria wa mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es salaam leo June 20 2016 wameanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hio...
View ArticleYuan ya China kutumika rasmi duniani
Sarafu ya China (Yuan) itaanza kutumika rasmi kwenye soko la duniani Septemba mwaka huu baada ya kuidhinishwa na bodi ya Shirika la Fedha Kimataifa (IFM).
View ArticleKocha wa Dibaba akamatwa Uhispania
Kocha wa mwanariadha wa Ethiopia, ambaye ni bingwa wa dunia wa mita elfu 1500 Genzebe Dibaba, amekamatwa na polisi wa Uhispania.
View ArticleEWURA yatoa ufafanuzi taarifa za mafuta ya taa kuadimika
Leo June 2016 baadhi ya magazeti yameibuka na taarifa ambazo imedai kuwa mafuta ya taa yameadimika katika mikoa kadhaa nchini ikiwamo Dar es salaam, Morogoro, Mwanza, Mtwara na Mikoa ya Kanda ya...
View ArticleIsrael backs Nuclear Test Ban Treaty - with no timeframe for ratification
The test ban treaty was signed by 183 nations in 1996 but is still awaiting ratifiication from eight countries. As a bulwark against Iran Netanyahu is reportedly seeking closer ties with moderate Sunni...
View ArticleBahrain strips senior cleric Isa Qassim of citizenship
Bahrain has stripped a leading Shiite cleric of his nationality after accusing him of attempting to divide society. The move has brought hundreds of protesters into the streets.
View ArticleEU strikes blow against illegal wildlife trade
The EU's approval of wildlife trade measures helps even up the battle against a long list of foes: criminal gangs, tribes hunting to feed their families, even corrupt guards supposed to protect animals.
View ArticleNon-fasting Muslims arrested in northern Nigeria
The religious police in Kano State have been cracking down on Muslims who fail to fast during the holy month of Ramadan. As DW’s Nasir Zango reports, the suspects could be caned in public if found guilty.
View Article